femalepilot
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 258
- 118
ila dingi yake ni bilionea...hata kina jayZ wanasubiri...so hamna cha ajabu hapo hata angekua haimbi..
Source of income ya Baba yake ni biashara gani?
wabongo wanadanganyika kirahisi kweli, hasa na viblog uchwara kwa vile vimeandika kwa kingereza. Eti $250mil....
Asilete masifa ya kijinga kujifanya anajua kuendesha haya makitu maana tusijesikia ndege ya davido yapotelea anganiwarumi hebu niitie wale mavuvuzela wa Billionare wetu Dangote Private jet yetu inafika lini?
Cc; Mrembo by Nature Muuza Sura heaven on desert Dinazarde Kongosho
Ama kweli wewe si matope, ni maatope! Nilikuwa nashangaa tu watu wanavyoongea wakati hiyo JET ni yakukodi kutoka "COMFORT JET SERVICES'! Kazi kweli kweli! Ila hata kununua si shida akaze buti tu mambo yatakuwa mazuri naye avute yake!NIMESHANGAA SANA KUKUBALI UONGO KWAMBA DAVIDO KANUNUA JET
HAMKUONA PIC YA PILI KUNA LOGO YA COMFORT JET?
Kibo10
The fast growing Nigerian artist reviled with picture that he has just acquired a new flying toy for himself for $250 Million.
Continue to read his tweet and more pictures of the jet
www.fikayorgideon.com
kwa hiyo unamaanisha wote walioamini ...........wote mliomwamini mmekurupuka tu hio jet sio yake kakodisha kwa kampuni ya comfort jet limited ila akajua tu kuna mazuzu wataamin. ha ha ha
Hongera zake...
noma sana yaani ile ya beyonce aliyomnunulia jay z kama zawadi ya father's day ni 50 milion usd hii ya togo ndo iwe 250