Muziki wa darasa wapigwa baada ya taarifa ya habari Clouds

darassa ana kipaj, isitoshe hajaanza leo kuimba km akina homonizer, hafu kngne mm nyimbo za darassa zote nazikubal i mean zko vizur sana , so naamn mchz hawez kupotea km akna sumalee, sam wa ukweli, kikubwa asilewe sifa wala asijiunge na timu yoyote ya muzk hafu aache skendo za kuwaacha mashabk midomo waz mfano kutoka kmapenz na masuperstar
 
wimbo wa taifa huwa haupotei...hukumbukwa hata ktk matukio maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…