Muziki wa Darassa umevunja ndoa

kyatamato

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
387
Reaction score
269
Rafiki yangu amekaa sana Uganda..na sio mpenzi sana wa kusikiliza Muziki ..sasa karudi bongo..kakuta watu wanacheza Muziki ..kwenye bar ..baada ya kuusikiliza vizuri akamwambia counter auweke repeat..na akaudhamini kwa bia 5.na jamaa hakuongea mengi akabonyeza kitufe cha kurudia Muziki ..mimi nikachoka nikamuaga kwamba naenda kulala ..rafiki akaniambia mimi leo sisinzii nataka kuwa macho mpaka mida ya wanga ...me nikachomoka mpaka home ..sasa leo ananiambia kakuta Mke wake kashaondoka baada ya rafiki kurudi nyumbani kwake saa 2 hasubuhi ..akampigia simu mke wake ..ili ajue kilichomuondoa nyumbani akamwambia haiwezekani utoke safarini alafu ukalala nje ... Ngoja nifupishe ..jamaa mpaka sasa anasema muziki umempoza..
 
Jamaa katumia nguvu nyingi kubuni kastory halafu mnamjibu hamtaki blah blah [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…