Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Jana nilikuwa kijiweni na vijana wengi walikuwa wanamponda Diamond kwa kuwa nyimbo zake nyingi hazikemei maovu kwenye jamii.
Pia wanauona mwelekeo wake ni kusaka tonge zaidi ya kujali mustakabali wa taifa.
Hawa vijana walimfyagilia sana Ney wa Mitego kwa msimamo wake dhabiti wa kukemea dhuluma za watawala na kudai ndiye mwanamuziki wanaemkubali sana.
Ila kikao chake na Dr. Mwakyembe kimewatia hofu asije kupewa peremende Kama Platinumz akawaacha bila mtetezi.
Bahati mbaya sana akili sina sasa sijui nitazitumiajeWe mzee tumia akili nyimbo za siasa na ugumu wa maisha watakuimbia mpoto na TOT diamond mwache atuimbie mahaba...
Mtetezi wake?Mond mnamsakama sana.
I agreeMkuu watanzania hawakosi la kusema,
The guy has fought teeth and nail to be where he is right now....
Kwa ufupi ni kuwa dogo hana upeo mkubwa sana kwenye maisha nje ya music....na amezungukwa na highly opportunistic gangs......
Muacheni a focus kwenye mambo yanayomuingizia kipato..
Mondi ana bahati sana, i think he should never mess it up by toasting the boat...
It wont pay him well..., Ney ni huslter he can survive that.. Completely incomparable.
Lakini nyumbani yupo kisisiemu zaidiJamaa yupo kimataifa zaidi, anakisanya mpunga oman, gabon, us, etc!
Huku kawaachia kina harmorapa wasasambue kidogo!
Ndio bossMtetezi wake?
Hao waliokuwa wanamponda Diamond kisa haimbi nyimbo za kisiasa ni wapuuzi kabisa ,nasema hivi kwa sababu hapa TZ kuna wasanii wangapi ? Mbona wote hawajatajwa ,wanamtaja diamond tu pekeeJana nilikuwa kijiweni na vijana wengi walikuwa wanamponda Diamond kwa kuwa nyimbo zake nyingi hazikemei maovu kwenye jamii.
Pia wanauona mwelekeo wake ni kusaka tonge zaidi ya kujali mustakabali wa taifa.
Hawa vijana walimfyagilia sana Ney wa Mitego kwa msimamo wake dhabiti wa kukemea dhuluma za watawala na kudai ndiye mwanamuziki wanaemkubali sana.
Ila kikao chake na Dr. Mwakyembe kimewatia hofu asije kupewa peremende Kama Platinumz akawaacha bila mtetezi.
Na wewe upo kichaggadema zaidi. Same same !Lakini nyumbani yupo kisisiemu zaidi