Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Kulikuwa na shida kwenye mtandao hadi leo asubuhi!
Jaribu saa hizi!
...Kama simu yako ina Fm radio jaribu kutuliza hasira radio one kipindi cha hizi nazo kiko hewani...sasa hivi mzee mzima hemed maneti naEddy sheggy wanafanya mambo na wimbo wao ' Mwisho wa mwezi una mambo , habari gani hugeuka how are you?, smahani wanasema sorry!!!bado sipati
Kulikuwa na shida kwenye mtandao hadi leo asubuhi!
Jaribu saa hizi!