Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ni ya kuandika na inginekuzungumza. Muziki=kwenye maandishi. Mziki=katika mazungumzo.ipi ni sahihi kati ya muziki na mziki
Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo.
Mdau Price, maneno wimbo na nyimbo yanasumbua wengi. Wimbo ni umoja, (singular) na wingi wake ni nyimbo. Kwa hiyo tunasema: Msanii wa bongofleva alianza na wimbo wake maarufu wa 'you are my number one' kisha akaimba nyimbo nyingine tatu.Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo.