Habari wadau,nina mpango wa kusomea masuala ya muziki hasa kupiga vyombo na kuimba/kuoperate vifaa vya muziki.
Je,kabla ya kufanya maamuzi rasmi,nimewiwa kuwashirikisha wapendwa wangu ili nijiridhishe kuwa nipo sahihi kwa ndoto hiyo kwa maana kwa upeo wangu naona kama inalipa.
KUULIZA SI UJINGA.
Nawasilisha.