Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?
Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.
Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.
Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
Sababu kubwa ni, mtaji kwa wanasiasa, biashara kubwa sana, Tanzania hakuna ajira rasmi, ukiondoa ualimu, afya na kilimo, fani nyingine ajira zake ni chache na huko ndiko unakuta mtu amesoma fani A lakini kaajiriwa kwa fani B.Huwa nashangaa eti cheti cha form four ni cha muhimu zaidi kuliko cha Advance!
Watu waliopata div zero utawajua tuSijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?
Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.
Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.
Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
Kuna kipindi akili yako huwa inarudi,ila peleka ushauri huu kwa polepole,Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?
Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.
Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.
Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?
Dunia nzima watu washatoka kwenye Elimu ya Sekondari na wanawekeza Elimunya juu, kutoa Wahandisi, Wanasayansi, Madaktari, Wachumi, Wanasaikolojia, na hata Wanafalsafa, sisi bado tumeganda alipoachoa Muzungu eti tunashindanisha Shule za Sekondari huu ujinga uko Kenya, Uganda na Tanzania tu labda na Afrika nyingine ya English monarchy, Mwanafunzi nchi anatangazwa na vyombo vya habari, baada ya hapo hatujui anaenda wapi na wala hatujamtayarishia chochote huko mbele.
Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa nzuri na ni jambo la kawaida hatuhitaji mwanafunzi bora, hata sijawahi kusikia eti kuna Shule ya sekondari bora Duniani bali nasikia University ranking.
Yaani hakuna kitu kipya tunachofanya na wala hatuendi na Dunia, alipoachia Muzungu ni hapo hapo tumeganda na Shule za Sekondari, tunatumia fedha nyingi eti kukarabati Shule kongwe ili iweje?
Kwamba mtoto anaonesha kuwa na kipaji maalum, nchi inaishia kutaja jina tu, hakuna mkakati kwa mfano kumpeleka nje asomee taaluma fulani na baadae arudi apewe ajira kulisaidia taifa. Unaona hakuna tatizo?Mbona ni kama hamna tatizo kwani kuna ubaya gani kutangaza mwanafunzi Fulani kawa wa kwanza kitaifa? Ni namna tu ya kuwapa morale vijana ila na wenyewe watamani kufanya vizuri na kutangazwa alafu hivyo vitu haviishi tu secondary ngazi zote za elimu wana utaratibu wao kuwatambua wale wote waliofanya vizuri..
Hizo taalamu mbona hata bongoland zinapatikana na si kweli kuwa hamna mikakati maalamu inayofanya na serikali kwa wale waliofanya vizuri zaidi ni wewe tu hauna interest ya kufuatilia nini kinaendelea baada ya matokeo kutoka.Kwamba mtoto anaonesha kuwa na kipaji maalum, nchi inaishia kutaja jina tu, hakuna mkakati kwa mfano kumpeleka nje asomee taaluma fulani na baadae arudi apewe ajira kulisaidia taifa. Unaona hakuna tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli. Mfano, Norway huwa wanaandika kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi bora mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari kila mwaka pamoja na shule walizofuzu. Na ni muhimu pia kwa wanafunzi wanaofuata na wazazi wao kufahamu shule zipi zinaongoza kwa manufaa yao wenyewe.Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora aliyepata alama za juu kuliko wote, halafu baada ya hapo ni nini kinafwata?