Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu kanza kuonyesha manjonjo yake!Which country you original from?
kazi imeanzaare you single like me?
hahahaaaWeka picha tuone kama kweli nzungu siku hizi hauwezi tofautisha coz kuna carolight,obagi na mikorogo ya kikongo inachubua hadi ngozi ya kota!!
Weka picha tuone kama kweli nzungu siku hizi hauwezi tofautisha coz kuna carolight,obagi na mikorogo ya kikongo inachubua hadi ngozi ya kota!
Yes! nitafanya soon. nini obagi carolight? jina langu catherine cox bwana!
hehehee muzungu hapa umeniacha hoi! Khaaa
huyu kanza kuonyesha manjonjo yake!
Yes! nitafanya soon. nini obagi carolight? jina langu catherine cox bwana!
Tena chalii inayoshinda kutwa via via na maeneo ya clocktower!haa haa haachezea charii ya Arusha wewe!