Muzungu najua kiswahili napenda jf may i come in please?

Cathy Cox

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
28
Reaction score
10
Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi
 
Come in beibe hapa hawana ubaguzi ila du wazungu. ...... jamii forums..... tanzania.... kazi kweli. Anyway are you single like me?
 
karibu sana jf wazungu tuko wengi ila hatusemi..feel at home
 
Karibu sana. Which country you original from? hapa hujaingia mpaka upokelewe na mkaribishaji mkuu KATAVI. karibu katarina.
 
Weka picha tuone kama kweli nzungu siku hizi hauwezi tofautisha coz kuna carolight,obagi na mikorogo ya kikongo inachubua hadi ngozi ya kota!!
 
Weka picha tuone kama kweli nzungu siku hizi hauwezi tofautisha coz kuna carolight,obagi na mikorogo ya kikongo inachubua hadi ngozi ya kota!

Yes! nitafanya soon. nini obagi carolight? jina langu catherine cox bwana!
 
Yes! nitafanya soon. nini obagi carolight? jina langu catherine cox bwana!

Fanya fasta tukuone kweli wewe ni nzungu??? Obagi na Carolight ni Cream zinazotumika ku enlight skin na kua kama ya mzungu!
 
Get ready to laugh, share, and get hurt time to time. People here are stubborn crazy. But in a good way.
 
Karibu sana Muzungu jisikie kama upo kwenu.
 
Ze mzungu usiwe mjinga ukaweka picha yako. Angalia kwanza wenyeji wameweka picha za namna gani. Hata kutaja jina lako halisi nako umechemka. Angalia majina yetu yalivo.
 
Hii approach uliyoitumia ya kujitambulisha kwa colour siipendi hata kuisikia! Nenda kwenye forums za South Africa ufanye upuuzi ulioufanya uone kama utapokelewa kwa chereko na nderemo. Oooooh I am a green/ blue .....who cares? ......Ulishawahi tembelea Apartheid na Peter Hectorson Museums wewe?
Anyway karibu na leta michango yako, keep aside the issue of being Nzungu, si wote tunafurahia kusikia hako kaneno "Uzungu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…