Muzungu najua kiswahili napenda jf may i come in please?

Mmmmmhh!
Karibu sana Jf!
Chaguo la wengi!


Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi
 
Alikuwepoo miss usa hapa jf.aka potea kwa siku.chache
Subiri wataalam waamke napombe zao juma tano mbali you will be gone back uzunguni.kila la heri.by mwafrika.
 
Karibu,Ila neno mzungu liishie kwenye utambulisho tu!
 
Ze mzungu usiwe mjinga ukaweka picha yako. Angalia kwanza wenyeji wameweka picha za namna gani. Hata kutaja jina lako halisi nako umechemka. Angalia majina yetu yalivo.

una hakika ni jina lake kweli.....JF we ione hivi hivi.....
 
Unanikumbusa Miss America!!
JF bana, dah!
 
Karibu sana jamvini, mzungu pori. Haa ha ha.
 
Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi

PM me katarina tafadhali
 
Hivi Miss America alipotelea wapi? Asiwe kaja kivingine.
 
Last edited by a moderator:
nyie kweli mmepotea, hamna mzungu hapo! Jf zaidi ya uijuavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…