Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
Enzi zileeeeee tunatoka shule saa nane kuwahi ugali na maharage home, njiani utasikia viredio vya watu. nyimbo za zamani zilikuwa nzuri sana. subiri wazee wa you tube wakuwekee link
Wakati huo tushashindilia mihogo ya mama salama tunakatiza mabwawa saba huku tukiogopa miraji atatokea lol nimekumbuka mbali sana
wanakuja!!! subiri tu utawaona!!