Hi ni project nzuri ya JpM ambayo imecost billions of shillings za watanzania, ila ukifanya analysis makini nikama "white elephant project" kwasababu biashara katika ziwa victoria kati ya Kenya Uganda na Tanzani iko low sana kiasi kwamba hata meri ziliopo kwasasa are oparating under capacity,.....kwahiyo hi inaenda kubuni biashara gani mpya ya kuvutia abiria kuitumia? Labda iwe kama kivutio cha wataliiHivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi daraja la kawaida.
View attachment 3533983
Kusema kweli, meli ni nzuri sana! Ina mvuto wa aina yake, na kwa mbali unaweza kudhani ni hoteli ya nyota tano inayocheza sebene juu ya maji.
View attachment 3533979
Katika hali ya kushangaza, video hizo zimejaa sifa kedekede kwa viongozi wa sasa, huku picha kubwa la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, likipepea kama bendera ya taifa. Sasa, jamani, hebu tuwe waungwana! Hata kama tunapenda "shobo" za kisiasa, kuna mahali penye ukweli wa kihistoria.
View attachment 3533987
Wazo la ujenzi wa MV Mwanza halikuzaliwa juzi kwenye kikao cha baraza la mawaziri aliloliteua Samia. Huu ulikuwa ni mpango mkakati, ndoto, na jasho la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ni yeye aliyepiga msumari wa kwanza wa ahadi hiyo, akiamini kuwa Warangi, Wakerewe, Wamaasai, Wahehe, Wajita, na Wasukuma wanastahili usafiri wa hadhi ya ndege ndani ya maji.
View attachment 3533985
Lakini kama usemavyo mtaani, "Internet never forgets" (Mtandao hausahau). Wakati kina Photogenic Mtoto wakijaribu kupaka rangi mpya kwenye ukuta wa zamani, Watanzania kwenye comments wamegeuka kuwa walimu wa historia.
View attachment 3533986
Inafurahisha kuona jinsi wananchi walivyowatandika "makavu" live! "Ebo! Meli ni ya Magufuli, sifa mnampelea Mwigulu? Kwani Mwigulu ndiye aliyeweka msingi wa ujenzi huu?"
View attachment 3533984
Wapo wengine wameenda mbali na kusema kuwa hata kama meli imekamilika chini ya Rais Samia (ambaye anastahili sifa kwa kuendeleza miradi), mzizi wa mradi huu una chapa ya chuma ya JPM, na anapaswa kutajwa wazi.
View attachment 3533982
Mpeni Kaisari Kilicho cha Kaisari.
Ubunifu wa maudhui usitufanye tuwe viziwi wa historia. Unaweza kupiga picha nzuri, lakini ukishindwa kusema ukweli, picha yako inapoteza kabsa uaminifu. MV Mwanza ni baraka tulizozipata kutokana na maono ya Hayati Magufuli, na ni vyema influencers wetu wakajifunza kutofautisha kati ya "anayekamilisha mradi" na "aliyeasisi ndoto."
View attachment 3533985
Vinginevyo, tutaanza kuamini kuwa siku hizi hata mvua ikinyesha, influencers watasema ni jitihada za wizara ya Maji, na si baraka za Mungu.
Bukoba tayali kuna meri ya victoria, nayenyewe hai jae iko under capacity.Wmetengeneza meli kubwa safari zinafanyika sehemu mbili tu Mwanza a Bukoba, hawakuona haja ya kwenda Musoma na Geita ?
Kuna biashara kubwa sana hukoHi ni project nzuri ya JpM ambayo imecost billions of shillings za watanzania, ila ukifanya analysis makini nikama "white elephant project" kwasababu biashara katika ziwa victoria kati ya Kenya Uganda na Tanzani iko low sana kiasi kwamba hata meri ziliopo kwasasa are oparating under capacity,.....kwahiyo hi inaenda kubuni biashara gani mpya ya kuvutia abiria kuitumia? Labda iwe kama kivutio cha watalii
Hi ni project nzuri ya JpM ambayo imecost billions of shillings za watanzania, ila ukifanya analysis makini nikama "white elephant project" kwasababu biashara katika ziwa victoria kati ya Kenya Uganda na Tanzani iko low sana kiasi kwamba hata meri ziliopo kwasasa are oparating under capacity,.....kwahiyo hi inaenda kubuni biashara gani mpya ya kuvutia abiria kuitumia? Labda iwe kama kivutio cha watalii
Mkuu Tanzania inakosa strategic national planners, kwa kweli mtu atapandaje meli wakati kuna daraja linafanya kazi 24/7 kuvuka kuenda bkb hadi kampala Rwada kwa mda wamasaa machache.Plus lile lidaraja reeeefu la mabilioni eneo lilelile! Uwekezaji wa mihemko bila planning! Mapovu ruksa...
Mkuu biashara ipi ambayo imeelemea mv victoria mpaka kupoteza pesa nyingi eti kuunda mari mpya.Kuna biashara kubwa sana huko
Hiyo ni kwaajili ya safari za afrika mashariki.. sio bukobaWmetengeneza meli kubwa safari zinafanyika sehemu mbili tu Mwanza a Bukoba, hawakuona haja ya kwenda Musoma na Geita ?
Una mawazo ya kijimaMkuu biashara ipi ambayo imeelemea mv victoria mpaka kupoteza pesa nyingi eti kuunda mari mpya.
Mkuu Tanzania inakosa strategic national planners, kwa kweli mtu atapandaje meli wakati kuna daraja linafanya kazi 24/7 kuvuka kuenda bkb hadi kampala Rwada kwa mda wamasaa machache.
Tunajadili mkuu leta data za hizo biashara zilioko uko bukoba zinazo kosa usafiri tu.Una mawazo ya kijima
Tunajua ulivyo alejiki na jina la JPMTunajadili mkuu leta data za hizo biashara zilioko uko bukoba zinazo kosa usafiri tu.
Walipenda sifa na kura za wananchi otherwise hela nyingi zimepotea bila faida yoyote ata uwape miaka 20 hiyo pesa haiwezi kurudishwa na hiyo biasha hawakufanya feasibility study ya project.Kanda yote ya ziwa, magharibi, na kaskazini hakuna biashara ya kujustify uwekezaji mkubwa namna hiyo kwa wakati mmoja! Siasa za one man show na urais wa kifalme zinatenda yote haya kwa kuwa tu wamejiwekea ulinzi wa kutokuwajibishwa!
Naona umekosa point mkuu, hizo pesa nikama zimepotea pale ziwa victoria kuna zaidi ya meri kubwa 4, zinafanya kazi kwa zamu, kwa sabanu mizigo michache inakuaje unaleta meri nyingine kubwa na ya gharama huo ni ujumu wa pesa za wa tanzaniaTunajua ulivyo alejiki na jina la JPM
Walipenda sifa na kura za wananchi otherwise hela nyingi zimepotea bila faida yoyote ata uwape miaka 20 hiyo pesa haiwezi kurudishwa na hiyo biasha hawakufanya feasibility study ya project.
Kamfufue mungu wako!!Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi daraja la kawaida.
View attachment 3533983
Kusema kweli, meli ni nzuri sana! Ina mvuto wa aina yake, na kwa mbali unaweza kudhani ni hoteli ya nyota tano inayocheza sebene juu ya maji.
View attachment 3533979
Katika hali ya kushangaza, video hizo zimejaa sifa kedekede kwa viongozi wa sasa, huku picha kubwa la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, likipepea kama bendera ya taifa. Sasa, jamani, hebu tuwe waungwana! Hata kama tunapenda "shobo" za kisiasa, kuna mahali penye ukweli wa kihistoria.
View attachment 3533987
Wazo la ujenzi wa MV Mwanza halikuzaliwa juzi kwenye kikao cha baraza la mawaziri aliloliteua Samia. Huu ulikuwa ni mpango mkakati, ndoto, na jasho la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ni yeye aliyepiga msumari wa kwanza wa ahadi hiyo, akiamini kuwa Warangi, Wakerewe, Wamaasai, Wahehe, Wajita, na Wasukuma wanastahili usafiri wa hadhi ya ndege ndani ya maji.
View attachment 3533985
Lakini kama usemavyo mtaani, "Internet never forgets" (Mtandao hausahau). Wakati kina Photogenic Mtoto wakijaribu kupaka rangi mpya kwenye ukuta wa zamani, Watanzania kwenye comments wamegeuka kuwa walimu wa historia.
View attachment 3533986
Inafurahisha kuona jinsi wananchi walivyowatandika "makavu" live! "Ebo! Meli ni ya Magufuli, sifa mnampelea Mwigulu? Kwani Mwigulu ndiye aliyeweka msingi wa ujenzi huu?"
View attachment 3533984
Wapo wengine wameenda mbali na kusema kuwa hata kama meli imekamilika chini ya Rais Samia (ambaye anastahili sifa kwa kuendeleza miradi), mzizi wa mradi huu una chapa ya chuma ya JPM, na anapaswa kutajwa wazi.
View attachment 3533982
Mpeni Kaisari Kilicho cha Kaisari.
Ubunifu wa maudhui usitufanye tuwe viziwi wa historia. Unaweza kupiga picha nzuri, lakini ukishindwa kusema ukweli, picha yako inapoteza kabsa uaminifu. MV Mwanza ni baraka tulizozipata kutokana na maono ya Hayati Magufuli, na ni vyema influencers wetu wakajifunza kutofautisha kati ya "anayekamilisha mradi" na "aliyeasisi ndoto."
View attachment 3533985
Vinginevyo, tutaanza kuamini kuwa siku hizi hata mvua ikinyesha, influencers watasema ni jitihada za wizara ya Maji, na si baraka za Mungu.
Ni kweli walinunua ndege 11 kwa mihemko mpaka leo haijawahi kuingiza faida zaidi ya hasara za billions kila mwaka, hapo hapo waliuua shirika la fastjet ambayo ilikua inasaidia wananchi wa mikoani kusafiri kwa bei nafuu.Muda ni mwalimu mzuri sana, uendeshaji wake utakua wa ghali sana na kwa kuwa hamna wateja wa kutosha liltetegemea ruzuku, baada ya muda litakufa tu kifo cha kawaida, inanikumbusha lile likivuko kuukuu walilinunua kwa mihemko vilevile lije kufanya ferrying ya Dar-Bagamoyo, kuficha kashfa wakalificha kwa wanajeshi, nina uhakika lishazikwa tayari au lsihauzwa kama chuma chakavu!