maskiniiiiiiiiiiiiii. duuuu.BREKING NYUUUUUZZZZZ: meli ya mv Serengeti inawaka moto
Habari zilizotufikia hivi punde,ni kwamba Meli ya Mv Serengeti iliyokuwa ikifanya safari zake ndani ya Bahari ya Hindi,inawaka moto sasa hivi katika bandari ya Zanzibar ilipokuwa ikitaka kuondoka kuelekea Pemba.Aidha Kikosi cha zima moto Zanzibar kimewasili eneo la tukio kikifanya juhudi za kuuzima moto huo.Kwa habari zaidi na picha tuvute subra kidoogo.!!
Source: Michuzi Blog
.Taifa lisililojiandaa kwa majanga...
Taifa lisililojiandaa kwa majanga...
.
Kufuatia ile ajali nyingine ya moto bandarini Zanzibar kipindi kifupi kilichopita, I belive they learnt their lesson, this time things, will never be the same again.
Lets hope for the best.
Tusubiri update na tuwapongeze kwa kazi nzuri.