MVANO MTANGAZAJI: MFANO HAI WA "MACHAMBUZI" FEKI ASIYEJUA LOLOTE

MVANO MTANGAZAJI: MFANO HAI WA "MACHAMBUZI" FEKI ASIYEJUA LOLOTE

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
MODS naomba heading isibadilishwe hata kidogo sababu hawa makanjanja nilidhani ni bahasha za khaki tu na ushabiki kumbe maskini ya Mungu wengi wao ni upeo mdogo wamekimbilia hiyo kazi sababu inazoa takataka za kila aina bila kuchuja

Eti huyu ni mmojawapo ya wachambuzi wa nchi hii anakumbaia hii ndiyo lists ya teams bora africa , hayo mapoints kayatoa wapi sijui ndo kule footballdatabase.com? hili kanjanja hata ukililiuliza system ya CAF ya 5 years ranking system hata halijui kwenye system ya CAf hakuna teams iliyofikisha hata points 80 ..aibu sana aibu sana kwa kweli
HALAFU KANJANJA HILI LISIVYO ANA AIBU LIKASEMA ETI KWA MUJIBU WA CAF MWEZI APRIL 😀🤣😂
Screen Shot 2022-04-05 at 7.24.23 PM.png

Screen Shot 2022-04-05 at 7.24.11 PM.png
sasa kanjanja Mavano data za CAf hizi hapa tangu miaka 5 iliyopita umeona jinsi hizo points zilivyokokotolewa? yaani kama ni somo la hesabu unaonyesha njia ya jibu lilivyopatikana
Screen Shot 2022-04-05 at 7.26.39 PM.png
NB: simba imeongeza points juzi imepaa hadi nafasi ya 12
 
MODS naomba heading isibadilishwe hata kidogo sababu hawa makanjanja nilidhani ni bahasha za khaki tu na ushabiki kumbe maskini ya Mungu wengi wao ni upeo mdogo wamekimbilia hiyo kazi sababu inazoa takataka za kila aina bila kuchuja

Eti huyu ni mmojawapo ya wachambuzi wa nchi hii anakumbaia hii ndiyo lists ya teams bora africa , hayo mapoints kayatoa wapi sijui ndo kule footballdatabase.com? hili kanjanja hata ukililiuliza system ya CAF ya 5 years ranking system hata halijui kwenye system ya CAf hakuna teams iliyofikisha hata points 80 ..aibu sana aibu sana kwa kweli
HALAFU KANJANJA HILI LISIVYO ANA AIBU LIKASEMA ETI KWA MUJIBU WA CAF MWEZI APRIL 😀🤣😂
View attachment 2176979

View attachment 2176968sasa kanjanja Mavano data za CAf hizi hapa tangu miaka 5 iliyopita umeona jinsi hizo points zilivyokokotolewa? yaani kama ni somo la hesabu unaonyesha njia ya jibu lilivyopatikana
View attachment 2176978NB: simba imeongeza points juzi imepaa hadi nafasi ya 12
hizo points 1744 kazitolea wapi sijui
 
hizo points 1744 kazitolea wapi sijui
Imagine mshkaji wangu aiseee hata kam ni ushabiki it is too much unadhani kwamba unaiumiza simba kwa kuwajaza watu ujinga wasioelewa hizi system anyway yeye mwenyewe hajui ila kanisikitisha kusingizia ni takwimu za CAf ila naye ni mchambuzi kajaza hadi team ya mali na zimbabwe hapo...heee
 
Utopolo anahangaika kudanganya mazuzu wenzie.

ITAKUWA CUF ya Lipumba si hii ya mpira
 
Utopolo anahangaika kudanganya mazuzu wenzie.

ITAKUWA CUF ya Lipumba si hii ya mpira
Huyu mimi nimemeuonea huruma kabisa hajui CAF wanapangaje hizi teams hajui kuna kitu kinaitwa 5 years ranking system na hizo points zinapatikanaje.....watu wanacheka tu kwa sasa ila hizi kazi za uchambuzi zimevamiwa zinazoa matakataka ya kila aina, huyo kaingia footbaldatabase.com ambako huwa wansema simba ni ya 400 africa basi kafurahiii mwenyewe katuletea sisi
 
Hulu mvano ndo wa wapi? Nisaidieni cmjui jamani!!
 
Mbona naona kama alichokileta yeye ni kitu kingine na ulichokileta wewe ni kitu kingine.Wote inawezekana mkawa mko sawa kwasababu mmezungumza mambo mawili tofauti.wewe umezungumzia vilabu vinavyopata point ili kucheza mashindano ya Caf(club bingwa na shirikisho),Yeye kaleta vilabu bora afrika.sasa sidhani kama hivi vitu vinafanana.Hebu tetea hoja yako vizuri nikuelewe.
 
Huyu mimi nimemeuonea huruma kabisa hajui CAF wanapangaje hizi teams hajui kuna kitu kinaitwa 5 years ranking system na hizo points zinapatikanaje.....watu wanacheka tu kwa sasa ila hizi kazi za uchambuzi zimevamiwa zinazoa matakataka ya kila aina, huyo kaingia footbaldatabase.com ambako huwa wansema simba ni ya 400 africa basi kafurahiii mwenyewe katuletea sisi
Hivi ukivipanga kwa ubora vilabu vyote vya mpira wa miguu afrika ukiachana na mashindano yanayosimamiwa na Caf kama ya kucheza club bingwa au shirikisho unadhani simba itakua namba ngapi?.
 
Back
Top Bottom