Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Hivi ndivyo binti Noela alikuwa akisema...
Jamani yani nilivyo na karangi kangu kachungwa kanapendeza sana.
Wala sitaki mtu anisifie maana mimi najijua mwenyewe kuwa ni mrembo asili.
Mafuta yangu ya nazi napaka, sina mambo mengi na ninang'aa hataree.
Mimi ni binti ninayependa asili, hivyo na nywele zangu ni asili.
Kinachonifanya nikose furaha ni hivi vimvi vya hapa mbele kichwani, yani vinanikera sana.
Nimeshahangaika kupaka aina nyingi za dawa ili kuzificha ila zinatoka mapema
Maneno hayo yalisikika kwa mrembo mmoja aliyekuja kusuka hapa karibu usuke.
Anahitaji kujua aina ya dawa ya kufanya mvi zisionekane kwa muda.