Mvinyo ........... wine............. Karibu

hii tutajuaje level ya alcohol? na vipi nikitaka kutengeneza size kidogo ya nyumbani?
 
Uzi wa siku nyingi sana;
Moderators wakaamua kuuweka kwenye jukwaa la utani,
hii ni mojawapo ya dharau.
Meljons, alcoholic test zipo kwenye maduka ya sido au tfda unaweza kupata;
ukitaka kutengeneza kiasi chochote fomula ni hiyo hapo juu, kwa hiyo utagawa kulingana
na wingi unaotaka kutengeneza.

hii tutajuaje level ya alcohol? na vipi nikitaka kutengeneza size kidogo ya nyumbani?
 
Last edited by a moderator:

Asante my dear.
Uzi ni wa siku nyingi lakini bado una elimu nzuri. Wanatakiwa wauweke kwenye jukwaa husika.
 
Last edited by a moderator:
Mbona sukari imekuwa kiasi kikubwa? Kg 12 kwenye lita 20! Itakuwa tamu sana hihyo jamani, angalia upya!
 
no one tried?
wajasiriamali wa JF mpo kweli?
 
Nimeelewa vema asante,but nilitaka itumike ndani ya siku saba,kumbe haiwezi
 

Naweza pata mawasiliano yako kama upo dar nataka kujifunza zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana kwa elimu hii..ila miezi sita unsikiliza i mature mbona muda sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vipimo maalum vya kupimia alcohol;
wakati fulani vilikuwa kwenye maduka ya sido
kwa miaka hii naamini kuwa vinapatikana mahali pengi zaidi.
Hamira inayo zungunziwa hapa ni hii hii ya kuumulia mikate tunayo nunua kwa mangi? Au ipo special yeast kwa ajili ya wine?
Uzi ni long time lakin ndio hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…