Nadhani wewe unahusika na huo uchomaji......maana kila moto unaripoti wewe!Wilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea.
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁Nadhani wewe unahusika na huo uchomaji......maana kila moto unaripoti wewe!
Endelea kufikiria kwa mrija wa tumboBaada ya kuishiwa pumzi ,chadema waanza kuchoma moto ofisi
CHADEMA wako jela kutumikia kifungo cha kisiasa usiwasingizie,kuchoma moto ofisi na uharibifu wa mali mbalimbali ni cherekochereko za CCM kusherehekea ushindi wa kishindo.Baada ya kuishiwa pumzi ,chadema waanza kuchoma moto ofisi
CCM wanazichoma wenyewe ili wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi chademaBaada ya kuishiwa pumzi ,chadema waanza kuchoma moto ofisi
CCM wameamua kuchoma kila kitu hasa pale penye ufisadi kupoteza kumbukumbu kisha watawasingizia chadema ili wapate kuwabambikia kesiNi nini tena? Yale mambo ya chaguzi za serikali za mitaa? Chickens have come home to roost..enhee
CCM wanazichoma wenyewe wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi chadema na upinzani kwa ujumlaWilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea.
CCM wameamua kuchoma kila kitu hasa pale penye ufisadi kupoteza kumbukumbu kisha watawasingizia chadema ili wapate kuwabambikia kesi
CHADEMA wamewaacha mjitekenye wenyewe.Baada ya kuishiwa pumzi, CHADEMA waanza kuchoma moto ofisi
Wilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani wewe unahusika na huo uchomaji......maana kila moto unaripoti wewe!