Mvomero: Ofisi ya kijiji cha Mlali yachomwa moto, vitu vyote ndani vyateketea

Ina maana hao "Watu Wasiojulikana" sasa wamebadili gia angani hawateki watu tena au kuwajeruhi kwa risasi ila sasa wanachoma nyumba kwa moto.
This is terrible.
 
Maccm majinga sana ya achoma moto ofis kupoteza ushahidi wa kuiba kura na kuvuruga uchaguzi.
 
Ina maana hao "Watu Wasiojulikana" sasa wamebadili gia angani hawateki watu tena au kuwajeruhi kwa risasi ila sasa wanachoma nyumba kwa moto.
This is terrible.
Maccm haya tumeyaacha yajipitishe bila kupingwa bado hayaridhiki yanachoma ofisi za wananchi
 
Kijiji kingine au ni kile kile MLALI? Kama ni kingine basi imekaa njema sana,waendelee tu kuchoma ofisi zote za kata TZ nzima.
Baada ya Salam hizo kuanzia 24 Nov wananchi waanze kunyoosha na hawa viumbe wa hovyo wa kata na vijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…