Mvomero: Upatikananaji wa Ardhi na Mazao yanayostawi

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,268
Reaction score
2,330
Wakuu
Naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu mvomero vizuri. Katika mishe zangu za kutafuta liziki nimepita wilaya ya mvomero na imenivutia. Sasa wadau nataka kujua roughly bei za ardhi huko zikoje na ninaweza kulima mazao gani. NB. Nataka kufanya large scale kuanzia ekari 200-300.
Please wakuu mwenye details.
 
fika ktk halmashauri husika wata kupa utaratibu ikiwa pamoja na kukuombea ardhi toka wizara husika ili ufanye huo uwekezaji...
 
Kwa uhitaji wa heka hizo anza ofisi za wilaya, mvomero pazuri ila pana changamoto ya wafugaji...wakiwa majirani zako fence muhimu ama sivyo kila leo mtahusisha dola na mihimili yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu
Naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu mvomero vizuri. Katika mishe zangu za kutafuta liziki nimepita wilaya ya mvomero na imenivutia. Sasa wadau nataka kujua roughly bei za ardhi huko zikoje na ninaweza kulima mazao gani. NB. Nataka kufanya large scale kuanzia ekari 200-300.
Please wakuu mwenye details.
Mvomero itakutesa....siasa nyingi kwa kuwa wanasiasa wengi wana mashamba kule kadhalika vurugu za wafugaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shambani ndiko utajiri ulipo, ila tu ulime kwa akili, usikurupuke mzeee utalia
 
Niko kwenye kilimo muda sasa na nataka kupanua uwekezaji mkuu
 
  • Thanks
Reactions: sab
Wanajamvi,
Mimi binafsi nina eneo langu la takribani ekari 18 maeneo ya bwawani wilaya ya Mvomero njia ya kuelekea Dodoma baada ya kuvuka mizani mkono wa kulia mwendo kama wa dk 30 kwa pikipiki,ardhi ni nzuri bado virgin ila changamoto yake eneo hilo halina vyanzo vya maji kama mito ya uhakika hivyo utalazimika kuwekeza kwa kuchimba mabwawa ili kutunza au kuvuna maji kipindi cha masika kwa ajili ya kufanya modern agriculture otherwise ukubali kulima kwa kusubiri mvua ya mwenyezi Mungu.
Ardhi ipo bei ni kuanzia shs laki 250 mpaka 400 kwa ekari moja.

Changamoto yake ni hao jamaa zetu wafugaji ni wengi ila wanadhibitika anaetaka eneo huko nitatoa mawasiliano wiki ijayo naenda shamba na nitakuja na taarifa zaidi

Asanteni.
 
Nasubiri kwa hamu sana
 
Mkuu hebu jaribu kuulizia kama kuna mtu ana ekari kuanzia 100 hivi
 
Upo sahihi, ila ukifika usifanye chochote bila mwenyeji. Na pia kuwa mstari wa nyuma usiwe front line, lile eneo kitu kinaitwa mila na utamaduni vina nafasi kubwa sana ktk maisha yao. Pia ktk maisha yangu sintokaa nikaisahau mlimba na Malinyi.
 
Back
Top Bottom