Mvomero itakutesa....siasa nyingi kwa kuwa wanasiasa wengi wana mashamba kule kadhalika vurugu za wafugaji.Wakuu
Naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu mvomero vizuri. Katika mishe zangu za kutafuta liziki nimepita wilaya ya mvomero na imenivutia. Sasa wadau nataka kujua roughly bei za ardhi huko zikoje na ninaweza kulima mazao gani. NB. Nataka kufanya large scale kuanzia ekari 200-300.
Please wakuu mwenye details.
Sehemu gani mkuu naweza pata eneo mjarabu hukoMvomero itakutesa....siasa nyingi kwa kuwa wanasiasa wengi wana mashamba kule kadhalika vurugu za wafugaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivyo ni bora, maana mradi wa pesa nyingi bila elimu ni hasara jamaaaNiko kwenye kilimo muda sasa na nataka kupanua uwekezaji mkuu
Malinyi hapanaMkuu mi j3 inshallah naenda Malinyi nasikia ardhi yake bado bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri kwa hamu sanaWanajamvi,
Mimi binafsi nina eneo langu la takribani ekari 18 maeneo ya bwawani wilaya ya Mvomero njia ya kuelekea Dodoma baada ya kuvuka mizani mkono wa kulia mwendo kama wa dk 30 kwa pikipiki,ardhi ni nzuri bado virgin ila changamoto yake eneo hilo halina vyanzo vya maji kama mito ya uhakika hivyo utalazimika kuwekeza kwa kuchimba mabwawa ili kutunza au kuvuna maji kipindi cha masika kwa ajili ya kufanya modern agriculture otherwise ukubali kulima kwa kusubiri mvua ya mwenyezi Mungu.
Ardhi ipo bei ni kuanzia shs laki 250 mpaka 400 kwa ekari moja.
Changamoto yake ni hao jamaa zetu wafugaji ni wengi ila wanadhibitika anaetaka eneo huko nitatoa mawasiliano wiki ijayo naenda shamba na nitakuja na taarifa zaidi
Asanteni.
Mkuu hebu jaribu kuulizia kama kuna mtu ana ekari kuanzia 100 hiviWanajamvi,