Mvua hizi za Dodoma zinanishawishi

Mvua hizi za Dodoma zinanishawishi

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Nimesafiri kuja Dodoma kwenye semina kutokea Daslam Sasa na mvua hizi kulala pekeangu naona Kama tabu vile naomba wadada wa Dom mnitunuku japo usiku wa Leo maana nimemtafuta Zero IQ naona hasomeki nilitaka anipe connection
 
Mvua Imenyesha Mpaka Basi Nilikuwa Swaswa Ipo Nyingi Sana. Connection Umeshatajiwa Usisahau
Chako Ni Chako, Hasa Jirani Na Mvita Lodge, Uhindini
Hapo Jirani Na Nbc Bank

Utang'oa Kisiki Kwa Reki!!!
😁😂😅😄😃😀😁😂🤣🤣
 
Tafadhali baki njia kuu. UKIMWI bado upo, na jana tu, tumetoka kuadhimisha siku yake. Kama una hisi baridi sana omba wahudumu wakuongezee blanketi jingine
 
Tafadhali baki njia kuu. UKIMWI bado upo, na jana tu, tumetoka kuadhimisha siku yake. Kama una hisi baridi sana omba wahudumu wakuongezee blanketi jingine
 
Back
Top Bottom