Mvua ikinyesha utakimbilia nini kati ya hivi viwili?

Mvua ikinyesha utakimbilia nini kati ya hivi viwili?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri.

Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
 
Aah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Aah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee🏃‍♀️🏃‍♀️
Weee mbna unatutia majaribuni...watu tunataka tuanzishe streak ya ubachela ebo!
 
Back
Top Bottom