Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kuna wengine wapo hivyooMvua ya siku moja tu na mchumba wako hana thamani? Ya masaa Tu?
Kuna mwenye la nyongeza?Aah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee[emoji2088][emoji2088]
Nakimbilia mbususu kupata joto.
Safi sanaAah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Ila dear hicho kidole hapo ni kama unatufokea kwamba you're taken already na hutaki usumbufu ama ?๐๐คฆโโ๏ธSafi sana
๐๐คฃ๐คฃ mapenzi tu iko siku nitakuelezeaIla dear hicho kidole hapo ni kama unatufokea kwamba you're taken already na hutaki usumbufu ama ?๐๐คฆโโ๏ธ
Weee mbna unatutia majaribuni...watu tunataka tuanzishe streak ya ubachela ebo!Aah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
๐๐ si majaribu ni kweli mkuuWeee mbna unatutia majaribuni...watu tunataka tuanzishe streak ya ubachela ebo!
Alooo..... wakubwa wanafaidi sana.Aah lifti ya nini ikiwa nna mpenzi nimpendaye mwenye mwamvuli bana, tena tunakunja mwamvuli tunatembea hivo hivo kwa raha zetu ili tukifika home full kuumana zero distance mpaka kukuchee๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Subiri ukikua utafaidi pia mdogo angu Chelu๐Alooo..... wakubwa wanafaidi sana.
Amina.๐Subiri ukikua utafaidi pia mdogo angu Chelu๐