Mvua imekolea

Mvua imekolea

zabron k

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
943
Reaction score
1,107
Mvua inaendelea kuonesha utukufu na baraka za Muumba, twende tukalime sasa. Wale tunaotumia jembe la mkono, tunaolimia WhatsApp, mikokoteni au ng'ombe bila kusahau tunaolima kwa simu. Mwakani tusije lalamika mahindi au unga umepanda bei twende shamba jamani.
 
We lima tu madalali wanawacheki wanasema hiiiiiiiiiiii na matikiti yenu wanawasubiri pale Sokoni mjionee mziki mnene.
 
Back
Top Bottom