manking JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 1,306 Reaction score 316 Mar 29, 2016 #1 Taarifa kamili hazijathibitika madhara na mali zilizo haribiwa kutokana na mvua iliyoambatana na upepo na radi kuharibu nyumba kadhaa na mifugo huko Mziha wilayani Mvomero usiku wa kuamkia leo. Nikipata taarifa kamili nitazileta hapa.
Taarifa kamili hazijathibitika madhara na mali zilizo haribiwa kutokana na mvua iliyoambatana na upepo na radi kuharibu nyumba kadhaa na mifugo huko Mziha wilayani Mvomero usiku wa kuamkia leo. Nikipata taarifa kamili nitazileta hapa.