Mvua imenyesha tayari.

Mvua imenyesha tayari.

Ukijificha kwenye kivuli cha mvua kumbuka ulipigwa 5 na mvua ilinyesha hivi hivi, kwaiyo usijipe moyo na kukariri maisha kama unavyofikiria
Nazungumzia hali ya hewa mkuu.

Pande hizo mvua inanyesha??
 
Haha kweli mimi ni kiazi mbatata lakini wewe ni ndezi mla ndizi za huko kwenu Uarushani😂😂

Utakuwa wa Bangata wewe🤣🤣
Ndio maana nikakuambia wewe ni kiazi maana unafikiri Arusha ni Bangata tu.
 
Back
Top Bottom