Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao.
Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila sehemu Mtanzania anapotaka kukua tunamkandamiza.