Mvua ni kama zimegoma kunyesha vile

Mvua ni kama zimegoma kunyesha vile

Nme panda alizeti week ya pili hii inakata mvua aija nyesha ni stress tu ,
 
Kila ukifika maeneo mbalimbali tangu mwaka jana Desemba (2024) mpaka hii Feb (2025) inaenda kuisha kuna ukame ambao hauelezeki.

Miaka ya nyuma miezi hii maeneo mengi ni heka heka hakuna kupoa ni matope juu ya matope
Sio maeneo yote, kwa Arusha mvua zilifululiza sanaa ila kwa siku kama 3 au 4 kumepiga jua la hatari
 
Kila ukifika maeneo mbalimbali tangu mwaka jana Desemba (2024) mpaka hii Feb (2025) inaenda kuisha kuna ukame ambao hauelezeki.

Miaka ya nyuma miezi hii maeneo mengi ni heka heka hakuna kupoa ni matope juu ya matope
Laaana ya damu zisizo na hatia
 
Kwa Dar isinyeshe tu. Tutajibana kwenye ac na mafeni.

Huu mkoa na mvua ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom