Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho.
Itabidi tuzidishe maombi
Itabidi tuzidishe maombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiombea Yanga sana isije ikalitia Taifa aibu tenaTupo pamoja na mtani mpaka atoke damu
Uzuri wote watakuwa wakicheza kwenye uwanja huohuo mmoja.Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho.
Itabidi tuzidishe maombi
View attachment 2643967
HahahahahahaUtopolo hawana bahati mvua imewafata uko uko
WANDISHI WA HABARI wa Bongo Ni zero brain (Ngumbaru) Sasa ameongea nn hapo.....Mvua kunyesha inakuaje habari?Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho.
Itabidi tuzidishe maombi
View attachment 2643967
Mkmi naombea tupate aibu kwa kishindoNaiombea Yanga sana isije ikalitia Taifa aibu tena
Habari ni kwamba tabu ipo pale pale.WANDISHI WA HABARI wa Bongo Ni zero brain (Ngumbaru) Sasa ameongea nn hapo.....Mvua kunyesha inakuaje habari?
0-2Naiombea Yanga sana isije ikalitia Taifa aibu tena
Hahahaha all the best Kaka
DahGari imeshafika final destination.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2644080
Gari imeshafika final destination.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2644080
Tuko nao hadi kaburiniSimba hao wanapeleka mvua dah yanga safari hii wanalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]