Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho.

Itabidi tuzidishe maombi
Your browser is not able to display this video.
 
Kilichoongezeka kule ni baridi

Na vyanzo vya habari na TMA ya kuke imeripoyi kesho kutakuwa na mvua ya mawe itayoambatana na radi na ngurumo za hapa na pale.

Sasa sijui watavaa helmet kwa ajili ya kuzuia mawe?

Maana wenzao waarabu wana nywele nyingi at least wanauhakika wa kuhimili

Sasa ndugu zetu wa kina Azizi Ki na ile low cut na Twisila na dreads zake za kuzugia watatoboa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…