Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
UPEPO mkali na mvua iliyoandamana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi.
Tukio hilo la aina yake limetokea masaa mawili yaliyopita ambapo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta' mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa zimeezuliwa paa za nyumba huku nyumba moja ikiwa imebomoka ukuta.
Katika tukio hilo nyumba mmoja iliyobomoka imeweza kujeruhi mtu mmoja aliyekuwa ndani.
Malunde blog