Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Picha = Uhujumu uchumi.
Pole sana.Hapa nafikiria nafikaje nyumbani πππ
Ha ha ha kuna dimbwi korofi najua sasa hivi limejaaPole sana.
Maji yameziba barabara? Hebu tuone japo kapicha.
Inabidi utafute njia ya kuzunguka usipite kwenye hilo dimbwi.Ha ha ha kuna dimbwi korofi najua sasa hivi limejaa