Mvua yaleta matumaini mapya kwa wakulima baadhi ya mikoa

Mvua yaleta matumaini mapya kwa wakulima baadhi ya mikoa

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Kuanzia jana ilikua ni kicheko kwa wakulima hasa wa mikoa ya Pwani, Tanga na morogoro baada ya Mvua kurejea tena,
Wakulima walikua wamekata Tamaa, Mazao yalikua yanakufa na jua, ila Mvua ilionyesha jana usiku kucha imeleta tumaini Jipya

Ashukuriwe Mungu
 
Duh hongereni sana wakulima wa pwani,huku mikoa yetu ya kati ya nchi niliona vimanyunyu asubuhi nikahisi kuna mahali itakuwa inanyesha,Ehh Mwenyezi Mungu utukumbuke na sisi wakulima wa huku maana hali ni tete...
 
Kuanzia jana ilikua ni kicheko kwa wakulima hasa wa mikoa ya Pwani, Tanga na morogoro baada ya Mvua kurejea tena,
Wakulima walikua wamekata Tamaa, Mazao yalikua yanakufa na jua, ila Mvua ilionyesha jana usiku kucha imeleta tumaini Jipya

Ashukuriwe Mungu
TMA wamesema tusiongelee mvua zao na baridi lao
 
Back
Top Bottom