Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Asilimia kubwa yanaweza kuokoka kama mvua zitaendeleaMmh Sasa inanjeesha wkt mazao yameshakauka
Mvua za byebye hizoAsilimia kubwa yanaweza kuokoka kama mvua zitaendelea
TMA wamesema tusiongelee mvua zao na baridi laoKuanzia jana ilikua ni kicheko kwa wakulima hasa wa mikoa ya Pwani, Tanga na morogoro baada ya Mvua kurejea tena,
Wakulima walikua wamekata Tamaa, Mazao yalikua yanakufa na jua, ila Mvua ilionyesha jana usiku kucha imeleta tumaini Jipya
Ashukuriwe Mungu