GE2025 Mvua yamfurumusha mgombea wa CCM kijijini Butiama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Ulikuwa ni mkutano wa Kampeni na mgombea ubunge wa CCM alikuwa anakampeni apigiwe kura kuwa mbunge .

Baada ya Ngoma nyingi za utamaduni spichi zikaanza.

Akafika kada mmoja kuongea. Nimeshasahau alisema nini, lakini alikuwa tu anafungua mkutano anawakaribisha wote.

Halafu akaja huyu kada mwingine,yeye akaanza kuorodhesha mambo yote mema Rais Samia aliyowatendea wanakijiji wa Butiama.( Kukarabati primary,kukarabati sekondari,nk)

Halafu akaja Mr. Mahela,mgombea ubunge,sawa kabisa,Mahela yule aliyekuwa Chairman wa Tume( Huru) ya Uchaguzi 2020.

Huyu alipojaribu tu kuongea mvua ikaanza kunyesha kwa ghadhabu kubwa na watu wote watapoteana. Ndio ukawa mwisho wa mkutano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…