Mvua yavunja tena pambano LA Stand Utd na Mtibwa Sugar

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
3,149
Reaction score
2,232
Leo katika uwanja wa CCM Kambarage kulikuwa na pambano LA Ligi kuu ya Vodacom, baina ya Stand Utd na Mtibwa Sugar. Mechi Hii ilisimamishwa katika dakika ya 34 baada ya mvua kubwa na kuzuia kuendelea kwa mechi. Ila hadi mpira unasimama Stand Utd Chama LA Wana!! Tulikuwa tunaongoza kwa goli moja. Lililofungwa na captain Haruna Chanongo baada ya kupokea pasi Safi toka kwa Abasarim Chidiabere
Hii ni Mara ya 3, kwa mvua kusababisha mechi ya Chama LA Wana!! Kuahirishwa! Katika mechi ya raundi ya kwanza Kati ya Mtibwa Sugar na Stand Utd, Manungu mpira ulihairishwa dakika ya Sita Stand akiwa anaongoza goli moja. Na mechi ya pill iliahirishwa dakika ya 84 Stand akiwa anaongoza goli moja.
Kwa hyo Kesho Kuna viporo 2 Kambarage asubuhi Stand na Mtibwa jion Simba na Kagera Sugar
Cc Makoye Matale, MASULE
 
Last edited by a moderator:
Chama LA Wana Yes! Yes! Yes!
 

Attachments

  • 1428254620860.jpg
    21 KB · Views: 254
  • 1428254750262.jpg
    19.6 KB · Views: 242
Hivi hii nchi haina mamlaka thabiti ya utabiri wa hewa yenye kuonesha kiasi cha mvua kinachoweza kunyesha?
 

Umesomeka Mkuu.. Utupatie matokeo ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Bado dak 2 mpira uishe Stand United Chama la wana wanaongoza kwa goli moja lililofungwa jana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Bado dak 2 mpira uishe Stand United Chama la wana wanaongoza kwa goli moja lililofungwa jana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Asante sana Mkuu. Kipenga kikipulizwa tu, tujulishe matokeo ya mwisho.
 
Ft Stand United 1 Mtibwa sugar 0

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Bado Polisi Morogoro tuweke uhakika
Cc. Lugora
 
Hapo Kambarage ni noma..Yanga alishinda kwa kujua masharti
 
Hivi mtibwa haishuki daraja?
Lazima watashuka daraja hawa jamaa mwaka huu, si wanatabia ya kuikamia timu yanga pekee katika timu zote za vpl??!
Sijui nani yule kocha wao sijui LIMEKSIME alichonga sana wakati wanaongoza ligi tena alikuwa mstari wa mbele kuiponda yanga kudadek zake huyu.
Si ndio kocha mwenyewe anashutumiwa kwa kuwapanga wachezaji wa kucheza mpaka wampe mlungula!!!?
 
Hapo Kambarage ni noma..Yanga alishinda kwa kujua masharti

Viongozi na baadhi ya wadau ni Yanga damu!! Tunamfata Taifa baada ya Azam
 

Ligi tame Sana ukishinda mechi moja unapaa!! Mgambo leo ni wa Tano! Na wa mwisho Ana point 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…