JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Mar 23, 2023 #1 Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Nairobi Nchini Kenya ambayo yameathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Machi 23, 2023, baadhi ya maeneo hayo ni Stendi ya Mabasi ya Ngara, barabara itokayo Uwanja wa Ndege (JKIA) mpaka Westlands
Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Nairobi Nchini Kenya ambayo yameathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Machi 23, 2023, baadhi ya maeneo hayo ni Stendi ya Mabasi ya Ngara, barabara itokayo Uwanja wa Ndege (JKIA) mpaka Westlands
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Mar 23, 2023 #2 Ficha ujinga, Nairobi sio jiji