Mvua za DAR kuleta maafa makubwa kwenye unyumba za watu...

Black Rose

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
243
Reaction score
171
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona!
Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara zimefungwa! Hebu tuhabarishane kama ni kweli :
1. Daraja la Segerea limevunjika
2. Daraja la Salender limefungwa
3.Daraja la Kawe nalo limefungwa
4.Daraja la Lugalo limefungwa..

Tupeni uhakika wale mlioko maeneo ya tukio..ongezeni na maoni yenu.
 
Anakudanganyaaa anakudanganya huyooo now playing B Love M-Anakudanganya
 
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona!
Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara zimefungwa! Hebu tuhabarishane kama ni kweli :
1. Daraja la Segerea limevunjika
2. Daraja la Salender limefungwa
3.Daraja la Kawe nalo limefungwa
4.Daraja la Lugalo limefungwa..

Tupeni uhakika wale mlioko maeneo ya tukio..ongezeni na maoni yenu.

Hakuna haja ya kuhangaika maana kama njia haipitiki lazima ukubali yaishe, ni kumkumbusha mwenzio anunue kondomu za kutosha maana kulala anaweza kwenda raundi nyingi kama amebeba moja!!! Ashukumu si matusi
 
Kwa ufupi ni kuwa kuna watu hawatorudi nyumbani kwa sababu ya mafuriko na uwezekano wa simu kufanya kazi nao ni mdogo.
 
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona!
Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara zimefungwa! Hebu tuhabarishane kama ni kweli :
1. Daraja la Segerea limevunjika
2. Daraja la Salender limefungwa
3.Daraja la Kawe nalo limefungwa
4.Daraja la Lugalo limefungwa..

Tupeni uhakika wale mlioko maeneo ya tukio..ongezeni na maoni yenu.

Black Rose naomba wewe na mashosisto mpunguze wivu,
  1. Kumbuka waliokwamwa siyo wanaume pekee yao sasa wanaume tusemeje nasi?
  2. Labda ukachukue malaya lakini assume demu wako yupo Mbezi na wewe upo Posta hujatoka kazini. Uache kwenda kujumuika na familia yako uende kwenye kupiga mambo yetu, bila ya shaka utakuwa na hitilafu kichwani.
Nadhani kuna haja ya kishi kwa kuaminiana.
 
Kuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!
 
ha ha ha.Au co....Kuna mkenya anakwambia SI SABUNI NA HAIKWISHI.teh teh the
 
Kuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!
vice verse is also true
 
Kuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!

Haina mita hiyo; hata ikitumika hujui units ngapi zimelika🙂
 
Hivi kumbe kuna watu akili zao zinafanya kazi kwa style hii? Kaazi kweli! Kila mtu ajisimamie basi, manake uzuri wa ukimwi unaupata mwenyewe kwanza ndo umgawie umpendae!
 
Kwa hali ilivyo hata km mtu atashindwa kufika hm czan km atakuwa hata na mood ya kufanya uzinzi wakati hajui familia au hata mpnz wake ana hali km yy ameshindwa kufika hm,cha msingi ni kuwa na iman na kumwombea awe salama mpaka hiyo kesho,otherwise awe na akili mbovu au cha pombe na hana cfa ya mwanaume.
 
Duh kazi kweli kweli
Kama vp tafuta ungo ukambebe.
 
Hakuna haja ya kuhangaika maana kama njia haipitiki lazima ukubali yaishe, ni kumkumbusha mwenzio anunue kondomu za kutosha maana kulala anaweza kwenda raundi nyingi kama amebeba moja!!! Ashukumu si matusi

condom za nini na baridi hii..kisa cha kujizidishia baridi na mikaratasi sijui mnaita condom...waiiiiii kitu tigo kwenda tigo hapaaa
 
masister du wanahitaji hifadhi nina maana waliathirika na mafuriko, wanahitaji kupata usingizi mahali salama na joto la kutosha, hapo kama mamba na nyumbu mtoni, anavutwa kina kirefu na biashara imekwisha!!!!!
 
Back
Top Bottom