Black Rose
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 243
- 171
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona!
Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara zimefungwa! Hebu tuhabarishane kama ni kweli :
1. Daraja la Segerea limevunjika
2. Daraja la Salender limefungwa
3.Daraja la Kawe nalo limefungwa
4.Daraja la Lugalo limefungwa..
Tupeni uhakika wale mlioko maeneo ya tukio..ongezeni na maoni yenu.
watasingizia wapo kaunta ya juu

ha ha ha.Au co....Kuna mkenya anakwambia SI SABUNI NA HAIKWISHI.teh teh theKuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!
vice verse is also trueKuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!
Kuna ubaya gani bi Dada hiyo siku moja mwenzio akakusaidia kibarua? Hiyo fito ikuchape wewe kila siku? Si kesho tu anarudi nayo! Kizuri kula na wenzio!
Haina mita hiyo; hata ikitumika hujui units ngapi zimelika🙂
Hakuna haja ya kuhangaika maana kama njia haipitiki lazima ukubali yaishe, ni kumkumbusha mwenzio anunue kondomu za kutosha maana kulala anaweza kwenda raundi nyingi kama amebeba moja!!! Ashukumu si matusi
Haina mita hiyo; hata ikitumika hujui units ngapi zimelika🙂