Mvua za Elnino zaua 120 huku familia takriban 89,000 zikiachwa bila Makazi

Mvua za Elnino zaua 120 huku familia takriban 89,000 zikiachwa bila Makazi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mvua kubwa zilizosababisha mafuriko yaliyoathiri Kaunti 10 nchini humo zimesababisha idadi ya vifo kuongezeka hadi 120, huku zaidi ya kaya 89,000 zilizoachwa bila makazi pia zikipewa hifadhi katika zaidi ya kambi 112

Novemba 27, 2023 Rais William Ruto aliongoza Kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri kuhusu janga hilo, akiahidi kutolewa kwa msaada wa Bilioni kadhaa za Shilingi za Kenya kwa maeneo yaliyoathirika

Hadi sasa nchi za Kenya, Somalia na Ethiopia, zinakabiliana na mafuriko ya ghafla yanayosababishwa na mvua kubwa za El Nino, ambayo yanazidisha mgogoro wa kibinadamu baada ya ukame ulioacha Mamilioni ya watu katika baa la njaa

.........

The death toll from floods that have devastated many parts of Kenya has almost doubled to 120, a government official said on Tuesday.

More than 89,000 households have also been displaced and are being sheltered in over 112 camps, top interior ministry official Raymond Omollo said in a statement.

Kenya and its Horn of Africa neighbours Somalia and Ethiopia are battling flash floods caused by torrential rains linked to the El Nino weather pattern.

The floods are exacerbating the humanitarian crisis in the region just as it emerges from the worst drought in four decades that left millions of people hungry.

Omollo said four counties in eastern Kenya were the worst hit while another 10 were on high alert.

Kenyan President William Ruto chaired an emergency cabinet meeting on the disaster on Monday, pledging to release billions of Kenyan shillings (millions of dollars) to the affected areas

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom