President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Mvua za masika zimeanza kunyesha mikoa ya nyanda za juu kusini na kufikia mwezi wa nne zitasambaa nchi nzima, hivyo kukwamisha kwa kiasi kikubwa mchakato wa kupiga kura ya maoni.
Serikali inapaswa kutafakari kama tarehe iliyopangwa (30/04/2015) ni muafaka kwa mazingira halisi ya nchi yetu hasa ukizingatia hali ya miundo-mbinu wakati wa kusafirisha vifaa vya kupigia kura na kukamilika kwa wakati uboreshaji wa daftari la wapiga kura!