Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mi majirani wangu wote nimezinguana nao..πππ kasalimie jirani huenda kuna mtu anahitaji msaadaπ
We haya πIngekua hvo basi watu wangekua wanafanywa mbaya kila siku..
Mi naingia pale kama kawaida na nakiwasha aiseee....
Anasemaga mi mtoto wa mdogo ake
Shem wakaa Dar pande ganiWakuu,
Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.
Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.
Sasa mwaliko WA Eid umekosa kisa mawazo yako potofuNaijua hiyoooooπ