Mvua za masika zimeanza?

Mvua za masika zimeanza?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mvua zinazonyesha kuanzia juzi sijazielewa sawasawa kama ni zile za palizi ya kwanza au ndio masika yenyewe?

Wataalamu wa kilimo msaada Tafadhali nyakati hizi za mabadiliko ya tabia nchi.

Mungu wa mbinguni awabariki.
 
Kwani wale waganga wa kienyeji Hali ya hewa wanasemaje?
 
Moja ya tatizo kubwa la sekta ya Kilimo ni proper information ya kuanza rasmi kwa mvua za misimu. Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yamepelekea misimu ya mvua kutotabirika wakulima wengi wazoefu wameshindwa kujua kwa uhakika ni kipindi gani mvua zinaanza. Sasa ilitakiwa serikali kupitia mamlaka ya hali ya hewa na maafisa ugani kusaidia kuhakikisha taarifa sahihi zinatolewa kwa wakati.
 
Back
Top Bottom