johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapanaaa
hizi zimesababaishwa na mkandamizo wa hewa huko madagascaaa
Kwani wale watu wa hali ya hewa wanazitaja kama mvua za masika au mabadiliko ya hali ya hewa?
Kwani unataka sema mvua zenyewe bado
Masika January....hapanaMvua zinazonyesha kuanzia juzi sijazielewa sawasawa kama ni zile za palizi ya kwanza au ndio masika yenyewe?
Wataalamu wa kilimo msaada Tafadhali nyakati hizi za mabadiliko ya tabia nchi.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Chungula nchanga unae😅???Wamakonde 4 Lindi walimtafuna kakakuona mwezi Desemba mwanzoni basi mvua ilipogoma kunyesha wananchi waliwapa adhabu kali sana wale wamakonde 4.
Majuzi imeanza kunyesha wanashangilia.
Afrika Bado sana
Punguza kula maharage.Hizi mvua za uspika wa bunge
Kwani wale waganga wa kienyeji Hali ya hewa wanasemaje?Mvua zinazonyesha kuanzia juzi sijazielewa sawasawa kama ni zile za palizi ya kwanza au ndio masika yenyewe?
Wataalamu wa kilimo msaada Tafadhali nyakati hizi za mabadiliko ya tabia nchi.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Punguza kula makandePunguza kula maharage.