Poleni sana chiefArusha sasa ina 2 weeks amna mvua
Mkuu kiuhalisia mi huwa napenda mvua maana bora inyeshe ya kutosha jua likitoka ardhi ibakie kuwa na majiWa3 na 4 ndio miezi ya mwisho ya msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini..hivyo mvua bado ipo..imeachia gap kidogo tu itarudi hadi utaichukia.
#MaendeleoHayanaChama
Na ndo maana nkataka wataalam watujuze maana kama ndio hvi aisee njaa itakuwa kubwa maana amna standardization ya mazao flan kwa kipind flan au mifugo flan ni changamoto kwa kwel ila Allah anajua zaidi..Haya ndiyo hasa mnatokea ya mabadiliko ya tabia nchi (climate change). Misimu halisi ya mvua za masika na vuli imebadilika na jambo hili linawachanganya sana wakulima wanategemea mvua. Kwa kawaida mikoa mingi hupata mvua za masika kuanzia Machi mpaka May/June. Sasa this time mvua zimeanza January mpaka February jambo ambalo limefanya hata maandalizi ya mashamba kuwa changamoto. Mamlaka ya hali ya hewa na Wizara ya Kilimo (maafisa kilimo/ugani) walitakuwa kuwaongoza wakulima kwenye nyakati sahihi za kupanda mazao..