ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote wanakula hasara. Kwa ni huu mzigo ndo Mvua za El Nino nacho jua zilishapita hizi si ni za kifuku?