ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ilikuwa 1998, ilikuwa balaa sana!Masika halisi ndio hii, hakuna ajabu! Inapaswa ipige mpaka May mwishoni huko.
Kujenga kiholela ndo issue ya kuitazama upya.
El nino ninayoijua mimi, sio hii mzee! Moja alikutana nayo Mkapa enzi zake.
- Mvua igonge siku 4 nonstop, kwa hali ya makazi yenu kwasasa unadhani itakuaje?
Kila mahali naonaMko sehemu gani wakuu?
Ingefaa ukitoa taarifa utaje sehemu, kutoa taarifa za barabara, ikiwezekana hata picha na video.
Watu wajiongeze hata kupanga safari na kutahadharisha wengine.
Lindi mvua inapiga Jana ilipiga kubwa pwani yote tu kifupi inapiga Kilwa rufiji Lindi si unasikia Habari zenyewe mvua ya siku nne na kweli inapiga ila barabara iko shwari safari zinaendelea nasikia tu somanga maji yalijaa wakasubiri yapungueMko sehemu gani wakuu?
Ingefaa ukitoa taarifa utaje sehemu, kutoa taarifa za barabara, ikiwezekana hata picha na video.
Watu wajiongeze hata kupanga safari na kutahadharisha wengine.
Pole sana dada.Kila mahali naona
Hapa nilipo giza nene na mvua ya kutusha nashindwa attach pic unaweza hisi ni usiku
Hahaha 🤣Pole sana dada.
Naona umegoma kutaja ulipo, labda unaogopa mabazazi kujisogeza karibu kwa kusingizia kutaka kuondoa kibaridi cha mvua hicho 🤣🤣
Dah,Lindi mvua inapiga Jana ilipiga kubwa pwani yote tu kifupi inapiga Kilwa rufiji Lindi si unasikia Habari zenyewe mvua ya siku nne na kweli inapiga ila barabara iko shwari safari zinaendelea nasikia tu somanga maji yalijaa wakasubiri yapungue
Yes mwaka 1997 ilikuwa balaaMasika halisi ndio hii, hakuna ajabu! Inapaswa ipige mpaka May mwishoni huko.
Kujenga kiholela ndo issue ya kuitazama upya.
El nino ninayoijua mimi, sio hii mzee! Moja alikutana nayo Mkapa enzi zake.
- Mvua igonge siku 4 nonstop, kwa hali ya makazi yenu kwasasa unadhani itakuaje?
Hivi bonyokwa ndio mkoa gani.Hahaha [emoji1787]
Bonyokwa
Kabisa mkuu nilikuwa dogo lakini nakumbuka mvua inagonga nonstop sio hii inagonga leo iankata inarudi baada ya week aus siku 3. Ile ilikuwa inaweza kugonga non stop siku 3 ikakata masaa ikaanza tena. Ilikuwa noma madaraja yalibebwa nilikuwa huko mkoa yani kwenda town center unazunguka kama vile unatoka nje mji ndio ufike center maana madaraja yote yamesombwaMasika halisi ndio hii, hakuna ajabu! Inapaswa ipige mpaka May mwishoni huko.
Kujenga kiholela ndo issue ya kuitazama upya.
El nino ninayoijua mimi, sio hii mzee! Moja alikutana nayo Mkapa enzi zake.
- Mvua igonge siku 4 nonstop, kwa hali ya makazi yenu kwasasa unadhani itakuaje?
Nikadhani kushusha mzigo Ni kukata gogo.Imejua kunifaidi leo nilikuwa nashusha mzigo ukijifanya kujikinga ndo uibiwe asalaleeeee
Ile ilianza September 1997-mpaka July 1998.Masika halisi ndio hii, hakuna ajabu! Inapaswa ipige mpaka May mwishoni huko.