Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Kaka unabadilishashe maneno ya mungu na kuwa ya dhihaka?Hello JF,
Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo!
Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.
Kwa maana imeandikwa waacheni watoto wazuri, warembo, pisi kali waje kwetu sisi mabaharia kwa maana ufalme wao wa raha na utamu upo ndani ya Maghetto yetu.
Hivyo katika kuimarisha utukufu ndani ya maghetto ni vema tuandae vibes zote muhimu ndani maghetto yetu.
Udumu Umoja wa Mabaharia Tanzania (UMATA)
Asanteni
Imeandikwa wapi kukataza kureproduce maneno katika context tofauti, basi ilaaniwe kwa kutumiwa vibaya na wamisionari nyakati zote tumia utimamu. Kwa akili zako ukiona movie za Yesu yule ndio Yesu mjomba wetu wa kwenye Bible?Kaka unabadilishashe maneno ya mungu na kuwa ya dhihaka?
Changamoto ya malezi hupelekea ukosefu wa hofu ya MunguKaka unabadilishashe maneno ya mungu na kuwa ya dhihaka?
Usingejitokeza hapa ungekuwa unaandaa shamba, mluzi umeingia,Wenzio wanaandaa mashamba kilimo Cha bamia,mwezi wa kumi wanaingiza pesa wewe unawaza gettho Kwa Nini msiuziwe Bandari
"Wacheni watoto wadogo wake kwangu maana ufamle wa mbinguni ni wao" maneno haya alitoka kwa yesu au kwa mungu?Imeandikwa wapi kukataza kureproduce maneno katika context tofauti, basi ilaaniwe kwa kutumiwa vibaya na wamisionari nyakati zote tumia utimamu. Kwa akili zako ukiona movie za yesi yule ndio yesu mjomba wetu wa kwenye Bible?
"Wacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufamle wa mbinguni ni wao" maneno haya alitoka kwa yesu au kwa mungu?
Na kweli kabisa , maana ukiwa huna akili jaribu kuwa na aibuChangamoto ya malezi hupelekea ukosefu wa hofu ya Mungu
Tumia akili, watoto wadogo iko wapi kwenye andiko langu, acha urojo kwenye kufikiri."Wacheni watoto wadogo wake kwangu maana ufamle wa mbinguni ni wao" maneno haya alitoka kwa yesu au kwa mungu?
Mjinga siku zote akikosilewa anaona kaonewaTumia akili, watoto wadogo iko wapi kwenye andiko langu, acha urojo kwenye kufikiri.
Hauna akili za leisure utafubaa toka huku nenda kanisani.
Hujui muktadha wa maudhui na nyakati, una akili finyu mlokole unafanya nini huku?
Wenye mastress hamtakiwi huku
Umefuata ni mende wewe hapa? Unakatiza kwenye zizi la shetani na mjukuu wake tena Kichwamoto, unaleta injili wewe mende tu, hio ni trespassing ya kizuzuMjinga siku zote akikosilewa anaona kaonewa
Andaa ghetto bab uwatieUmefuata ni mende wewe hapa? Unakatiza kwenye zizi la shetani na mjukuu wake tena Kichwamoto, unaleta injili wewe mende tu, hio ni trespassing ya kizuzu
Waambie watu wana complicate hawajui hard thinking and soft thinking, ni vichaa wamekalia ukiranja na uchungaji na ni mazuzu yana trespass platforms zisizowapendeza sijui ni vipanzi ya kanisa masaliaNajua wapo tutakao kudhihaki kwa maono yako,pia wapo watakao kukubali.
Kikubwa JF ni uwanja wa kujidai na bila kupangiwa cha kuandika.
Nzuri Bwamdogo andaa mgeto upate utelezi njaa zikiwauma utanikuta kibandan kwangu nakuuzia kiepe Yai.
Bahati mbaya sana wengine akili hawana na aibu pia hawana. Jaribu kuwaza mtu wa aina hiyo yukoje. Ni janga tupu kwenye jamii inayomzungukaNa kweli kabisa , maana ukiwa huna akili jaribu kuwa na aibu
Ikiwa kama kijana, halafu ni mwanaume kuwa na maneno ya kijingajinga haipendezi mbele ya jamiiBahati mbaya sana wengine akili hawana na aibu pia hawana. Jaribu kuwaza mtu wa aina hiyo yukoje. Ni janga tupu kwenye jamii inayomzunguka