Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Mvua zinatarajiwa kuchelewa ili kupisha uhakiki wa wafanyakazi hewa unaondelea nchini.
Kwa kuwa Mvua husababisha uharibifu wa barabara hivyo zitasababisha zoezi hilo kukwama mara kwa mara kwa kushindwa kusafirisha baadhi ya vifaa vya uhakiki,na pia watumishi wengi watashindwa kwenda kuhakikiwa.
....hivyo zitaanza mara tu zoezi la uhakiki litakapokamilika.